Sunday, June 21, 2015

SPORT IN BONGO KUTOKUWA HEWANI MPAKA ALHAMISI

Shughuli zote zinazo siamamiwa na Aboodmsuni Network zitashitishwa kwaanzia leo hadi siku ya alhamisi juni 25 mwaka huu, kutokana na na mtandaji na msimamizi pekee wa shughuli za Aboodmsuni Network kutingwa na majukumu mengine katika kipindi hiki.

Sehemu kubwa itakayo athirika ni ile ya usimamizi wa blog zetu (Tembezi Za Msuni, Sport In Bongo na Chama Langu Azam) na ukurasa wetu wa facebook na twitter.

Msimamizi wa shughuli za Aboodmsuni Network, Abdallaha Sulayaman (Abood Msuni), katika kipindi hiki anashughuli ya kuwasaidia wahitimu watarajiwa wa Almaktoum College of Engineering and Technology katika kozi ya IT (information Technology) katika uhimishaji wa project zao.

Kuwa saidia wahitimu hao ili waweze kuhitmu vizuri, ni kuisaidia jamii inayotuzunguka, na ndhamira yetu kuisaidia jamii kadri ya uwezo wetu.

Wadau wa Aboodmsuni Network na tumai mutatuelewa na kutuwia radhi kwa kusimamisha shughuli zetu kwa siku 6, ambapo jana tulishindwa kuwaletea update za mchezo wa Taifa stars na Uganda kutokana na dharura hiyo iliyo jitokeza.

Natumai mtakuwa na subra mpaka tutakporejea siku ya alhamisi juni 25 mwaka huu.

Imetolew na Abdallah H.I Sulayman
Mtendaji pekee wa Aboodmsuni Network

0 comments