Saturday, July 18, 2015

SIB DAKIKA 90 KULETA MATOKEO YA MOJA KWA MOJA YA KAGAME CUP

Pazia la michuano ya Kagame linatarajiwa kufunguliwa leo na ukurasa wa SIB Dakika 90 ulio ndani ya sportmsuni.blogspot.com kurasa yetu ya Facebook na Twitter watakuletea moja kwa moja live score ya michuano hiyo toka Taifa na baadhi ya michezo itakayo chezwa Karume kadri matokeo yatakavyokuwa tunayapata.

Katika SIB Dakika 90 tutakuwa na update kila baada ya dakika 5 huku katika kurasa zetu za Facebook na Twitter itakuwa kila baada ya dakika 10 kama hakutakuwa na tukio maalum la kugusa (kama goli kuingiia ama kuonyeshwa kadi nyekundu mchezaji).

Urushwaji wahayo matokeo haita gusa michezo ya mchana (saa nane) itakayo kuwa inachezwa siku za kazi (Jumatat hadi iujmaa) na kutakuwa na uchelewaji katika michezo ya saa kumi kwa siku hizo.

Kumbuka SIB Dakika 90 ndio Live score ya uhakika katika soka la bongo.

Imetolewa na Abdallah H.I Sulayman
Mtendaji pekee wa Aboodmsuni Network

0 comments