Saturday, August 15, 2015

TUNAKARIBISHA MAONI JUU YA KIPENGELE CHA DAKIKA 90


Kipengele cha Dakika 90 katika blog yetu ya Sport In bongo kinacho toa matokeo moja kwa moja toka viwanjani katika michezo inayohusisha timu za Tanzania, kinatarajjiwa kuanza kufanyiwa maboresho wiki ijayo ambapo ikiwa sehemu ya kujiweka sawa kabla  ya ligi kuu ya vodacom kuanza ,mapema mwezi ujao.

Kutokana na kudhamini mchango wenu wadau wa Dakika 90, kuanzia leo tutakuwa tunapokea maoni juu ya maboresho yanayotakiwa kufanywa katika kipengele hicho.

Upokeaji wa maoni umeanza leo na mpaka mwishoni mwa mwezi huu tutasitisha upokeaji wa maoni ya namna ya kuboresha kipengele chetu hicho, kinacho ifanya blog yetu kuwa na kitu cha kipekee kulinganisha na blog nyingine za michezo.

Maboresho hayo yatakayo anza siku ya jumanne ni yale ambayo jicho la msimamizi wa kipengele hicho amekiona, huku tukingoja maoni yenu wadau katika kuboresha kipengele chetu hicho.

Vile viele waweza toa maoni juu ya vipenhele vingine vinavyopatikana katika blog zetu za Sport In bongo, Chama langu Azam na ile ya Tembezi za Msuni.

Unaweza kututumia maoni yako kupitia kurasa yetu ya Facebook, Twitter (kwa kutafuta aboodmsuni) ama kwa njia ya email aboodmsuni@gmail.com ama kupitia whatsapp katika namba +255-785831252 (Usipige kwenye namba hii), ama tutumie message katika namba +255715602531.

Imetolewa na Abdallah H.I Sulayman
Mtendaji na mmiliki wa Aboodmsini Network

0 comments