Saturday, October 31, 2015

SIB DAKIKA90 KUTOKUWA LIVE KATIKA VIWANJA VITANO LEO


Leo katika ligi kuu ya vodacom kuna michezo mitano itakuwa ikichezwa katika viwanja vitano ambapo leo tunasikitika kwa kutokuwa na matokeo ya moja kwa moja toka katika viwanja hivyo vitano (livescore) kupitia kipengele chetu cha SIB Dakika 90 kinachopatikana katika blog yetu ya Sport In bongo.

Leo msimamzi wakipengele hicho Abdallah Sulayman atatingwa na shughuli nyingine za kijamii ambazo zitapelekea kushindwa kuleta matokeo ya moja kwa moja.

Tuna omba wadau wetu mutusamehe kwa usumbufu utakao jitokeza, ila kila takapo pata muda wakati michezo hiyo ikiendleea atajaribu kutoa taarifa kile kinachojiri, bali kwa leo SIB Dakika 90 sio sehemu ya kutarajia kupata update za michezo ya leo.

Imetolewa na Abdallah H.I Sulayaman
Imtendaji pekee wa Aboodmsuni Network

0 comments