Leo katika ligi kuu ya vodacom kuna michezo mitano itakuwa ikichezwa katika viwanja vitano ambapo leo tunasikitika kwa kutokuwa na matokeo ya moja kwa moja toka katika viwanja hivyo vitano (livescore) kupitia kipengele chetu cha SIB Dakika 90 kinachopatikana katika blog yetu ya Sport In bongo.
Leo msimamzi wakipengele hicho Abdallah Sulayman atatingwa na shughuli nyingine za kijamii ambazo zitapelekea kushindwa kuleta matokeo ya moja kwa moja.
Tuna omba wadau wetu mutusamehe kwa usumbufu utakao jitokeza, ila kila takapo pata muda wakati michezo hiyo ikiendleea atajaribu kutoa taarifa kile kinachojiri, bali kwa leo SIB Dakika 90 sio sehemu ya kutarajia kupata update za michezo ya leo.
Imetolewa na Abdallah H.I Sulayaman
Imtendaji pekee wa Aboodmsuni Network
Kipengele cha Dakika 90 katika blog yetu ya Sport In bongo kinacho toa matokeo moja kwa moja toka viwanjani katika michezo inayohusisha timu za Tanzania, kinatarajjiwa kuanza kufanyiwa maboresho wiki ijayo ambapo ikiwa sehemu ya kujiweka sawa kabla ya ligi kuu ya vodacom kuanza ,mapema mwezi ujao.
Kutokana na kudhamini mchango wenu wadau wa Dakika 90, kuanzia leo tutakuwa tunapokea maoni juu ya maboresho yanayotakiwa kufanywa katika kipengele hicho.
Upokeaji wa maoni umeanza leo na mpaka mwishoni mwa mwezi huu tutasitisha upokeaji wa maoni ya namna ya kuboresha kipengele chetu hicho, kinacho ifanya blog yetu kuwa na kitu cha kipekee kulinganisha na blog nyingine za michezo.
Maboresho hayo yatakayo anza siku ya jumanne ni yale ambayo jicho la msimamizi wa kipengele hicho amekiona, huku tukingoja maoni yenu wadau katika kuboresha kipengele chetu hicho.
Vile viele waweza toa maoni juu ya vipenhele vingine vinavyopatikana katika blog zetu za Sport In bongo, Chama langu Azam na ile ya Tembezi za Msuni.
Unaweza kututumia maoni yako kupitia kurasa yetu ya Facebook, Twitter (kwa kutafuta aboodmsuni) ama kwa njia ya email aboodmsuni@gmail.com ama kupitia whatsapp katika namba +255-785831252 (Usipige kwenye namba hii), ama tutumie message katika namba +255715602531.
Imetolewa na Abdallah H.I Sulayman
Mtendaji na mmiliki wa Aboodmsini Network
Pazia la michuano ya Kagame linatarajiwa kufunguliwa leo na ukurasa wa SIB Dakika 90 ulio ndani ya sportmsuni.blogspot.com kurasa yetu ya Facebook na Twitter watakuletea moja kwa moja live score ya michuano hiyo toka Taifa na baadhi ya michezo itakayo chezwa Karume kadri matokeo yatakavyokuwa tunayapata.
Katika SIB Dakika 90 tutakuwa na update kila baada ya dakika 5 huku katika kurasa zetu za Facebook na Twitter itakuwa kila baada ya dakika 10 kama hakutakuwa na tukio maalum la kugusa (kama goli kuingiia ama kuonyeshwa kadi nyekundu mchezaji).
Urushwaji wahayo matokeo haita gusa michezo ya mchana (saa nane) itakayo kuwa inachezwa siku za kazi (Jumatat hadi iujmaa) na kutakuwa na uchelewaji katika michezo ya saa kumi kwa siku hizo.
Kumbuka SIB Dakika 90 ndio Live score ya uhakika katika soka la bongo.
Imetolewa na Abdallah H.I Sulayman
Mtendaji pekee wa Aboodmsuni Network
Shughuli zote zinazo siamamiwa na Aboodmsuni Network zitashitishwa kwaanzia leo hadi siku ya alhamisi juni 25 mwaka huu, kutokana na na mtandaji na msimamizi pekee wa shughuli za Aboodmsuni Network kutingwa na majukumu mengine katika kipindi hiki.
Sehemu kubwa itakayo athirika ni ile ya usimamizi wa blog zetu (Tembezi Za Msuni, Sport In Bongo na Chama Langu Azam) na ukurasa wetu wa facebook na twitter.
Msimamizi wa shughuli za Aboodmsuni Network, Abdallaha Sulayaman (Abood Msuni), katika kipindi hiki anashughuli ya kuwasaidia wahitimu watarajiwa wa Almaktoum College of Engineering and Technology katika kozi ya IT (information Technology) katika uhimishaji wa project zao.
Kuwa saidia wahitimu hao ili waweze kuhitmu vizuri, ni kuisaidia jamii inayotuzunguka, na ndhamira yetu kuisaidia jamii kadri ya uwezo wetu.
Wadau wa Aboodmsuni Network na tumai mutatuelewa na kutuwia radhi kwa kusimamisha shughuli zetu kwa siku 6, ambapo jana tulishindwa kuwaletea update za mchezo wa Taifa stars na Uganda kutokana na dharura hiyo iliyo jitokeza.
Natumai mtakuwa na subra mpaka tutakporejea siku ya alhamisi juni 25 mwaka huu.
Imetolew na Abdallah H.I Sulayman
Mtendaji pekee wa Aboodmsuni Network
Nowadays, many programs take lots of memory during operation, which is a nightmare for low RAM systems. So to avoid this make your pen drive/USB of large size as RAM, which will allow your system to handle more operations and tasks. To know how to do this, follow the steps below.
Steps
- Delete all the stuff on your pen drive.
Insert it and let the PC read it (minimum 2 GB).
- Right click on My Computer.
- Click on Properties from context menu.
- Click on the Advanced tab.
- Click on Settings under Performance.
- Click on the Advanced tab.
- Click on the Change button under Virtual memory.
- Select your USB drive.
- Click on custom size radio button and give the values as follows;
- Initial Size:1020
- Maximum size:1020
- The size depends upon your free memory capacity of your pen drive. So you can change this limit according to your pen drive size.
- Click the Set button, then click on OK.
- Restart the computer with pen drive inserted.
The speed of your computer will be increased.
Method 1 of 2: How to use USB pen drive as RAM in Windows XP
-
Connect your pen drive to computer.
Note: The pen drive should be at least 1 GB.
-
Right click on "My computer", then click "Properties".
-
Click on the 'Advanced' tab, then click on 'Performance'.
-
Click on 'Advanced', then click on 'Virtual Memory'.
-
Select your pen drive icon and click 'Custom size'.
-
View the memory available in your pen drive and write it down
-
Click OK.
Method 2 of 2: How to use USB pen drive as RAM in Windows Vista and Windows 7 and 8
-
Insert your pen drive and format it.
-
Right click on your pen drive and click on "Properties".
-
Click on 'Ready boost' tab and then on 'Use this device'.
- Choose maximum space to reserve system speed
- Click on OK and Apply.
- You're done!
Use your pen drive as RAM.
Tips
- You must be logged in as Administrator to do this task.
- If you are using Windows 7, start by doing steps 1 and 2, but then a different window will pop up. Click "Advanced system settings" on the sidebar and continue the steps.
Warnings
- It may significantly shorten the life of the USB. Normal flash drives have limited numbers of writes. For normal usage, it takes a long time for the writes to run out. However, if used as RAM where millions of transfers are done every minute, the life of the drive may be significantly shortened.
- Do not remove the USB. It'll crash your system. However, simply plugging the USB back in and rebooting will fix the crash.
Special Thanks To Wikihow
Mtandao wa Twitter umebadili sheria zake katika kuzuia watumiaji wake kuchapisha Picha na video chafu.
Sheria ya mtandao huu wa kijamii inasema ''Marufuku kuchapisha picha au video chafu zilizopigwa au kurekodiwa kisha kusambazwa bila ridhaa ya muhusika aliye kwenye video na picha hizo''
Mwezi uliopita vitendo hivi vilitambulika kuwa makosa ya jinai uingereza na Wales.
Msemaji wa Kampuni ya Twitter amesema watumiaji watakaobainika kukiuka masharti mapya ''Anuani zao zitafungiwa''
Watumiaji wanaopeleka malalamishi Twitter kuhusu picha na Video zilizochapishwa watatakiwa kujitambulisha na kuithibitishia Kampuni kuwa hawakuwahi kutoa idhini ili kuchapisha picha au video mtandaoni na kuonekana kwa hadhira.
Yeyote atakayebainika kuchapisha picha hizo kinyuma na utaratibu wa sheria hii mpya atatakiwa kufuta kwanza kabla ya kurejeshwa tena mtandaoni.
Nchini Uingereza na Wales imeweka sheria ambayo mtuhumiwa atahukumiwa kifungo cha mpaka miaka miwili gerezani.
Sheria hiyo inagusa picha zinazowekwa kwenye mitandao ya kijamii na Ujumbe mfupi.
Majimbo kadhaa ya Marekani wameweka Sheria ya kupambana na vitendo hivi hasa California,Texas na Utah.
Mabadiliko haya ya twitter yamekuja baada ya Kampuni hiyo kukosolewa kuwa imekuwa haifanyi jitihada madhubuti dhidi ya matumizi mabaya ya mtandao unaofanywa na watumiaji wake.
Raia mmoja wa Marekani anayefanya kazi katika mataifa ya milki za kiarabu UAE amekamatwa kwa matamshi aliyochapisha katika mtandao wake wa facebook, na sasa anakabiliwa na hukumu ya kufungwa jela.
Ryan Pate,ambaye ni fundi wa ndege alikuwa katika likizo ya kujiuguza nyumbani kwake katika jimbo la Florida nchini Marekani wakati alipomkosoa mwajiri wake.
Aliita kampuni hiyo kama yenye ''wasaliti na kutoa matamshi ya kibaguzi dhidi ya watu wa mataifa ya milki hiyo.
Wakati alipokuwa akirudi alikamatwa kwa kukiuka sheria kali za taifa hilo kuhusu matamshi ya kashfa .
Iwapo atapatikana na hatia huenda akahudumia kifungo cha hadi miaka mitano jela.