Blogger Abdallah H.I Sulayman 'Aboodmsuni' kupitia blog zake za ABOODMSUNI HOME na ABOODMSUNI NA SOKA LA BONGO anawapa pole kwa wale wote waliopoteza ndugu zao katika tukio la kuzama kwa MV Spice Islanders hapo usiku wa juzi (ijumaa) kuamkia jana (jumamosi).
Aboodmsuni anaungana na Watanzania wengine katika maombelezi ya siku 3 aliyo tangaza Raisi ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.



0 comments