Friday, September 16, 2011

Soko la Mwanjelwa lawaka Moto

HABARI ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII HIVI PUNDE TOKA JIJINI MBEYA, ZINAELEZA KUWA SOKO LA MWANJELWA LINATEKETEA KWA MOTO HIVI SASA HUKU WAFANYA BIASHARA WALIOPO NDANI YA SOKO HILO WAKIKIMBIA NA KUACHA MALI ZAO, CHANZO CHA MOTO HUO BADO HAKIJAFAHAMIKA MPAKA SASA.



Source: GLOBU YA JAMII (michuzi)

No comments:

Post a Comment