Jioni ya leo nimepokea message toka kwa rafiki yangu wa kwenye mtandao akitoa taadhari kwa Waisailam wote juu ya ukopaji kwenye mitandao ya simu.
Ujumbe huo unaosema:
UJUMBE KWA WAISLAM WOTE: KAMPUNI ZA SIMU ZA TIGO NA VODA. Zitatuingiza motoni kutokana na riba wanazotoza, Allah Amehalalisha biashara na ameharamisha RIBA.
Tusikope SALIO Waisalamu. Shilingi moja ya RIBA ina DHAMBI KUBWA SANA KWA ALLAH (S.W). Kumbushaneni akika ya Ukumbusho utawafaa wenye kuamini. "INSHAALLAH"
mwisho wa kunukuu



0 comments