Radio Imani na TV Imani wakiwachini ya Islamic Foundation wameandaa tamasha la Iddil Adh-ha kwa wakazi wa Morogoro na vitongoji vyake siku ya Iddi jumapili november 6 katika uwanja wa Jamhuru Morogoro.
Baada ya tamasha la Iddil Fitri kufanya vyema lililo fanyika katika uwanja wa Jamhuri, sasa wataanda Tamasha la eiddil Adh-ha ambapo usajili wa watu watakao shiriki michezo mbalimbali katika siku hiyo ya eiddi umeanza katika.
Wakazi wa Morogoro tujumuike Jamhuri, tutabasamu na redio Iman pamoja na TV iman.




0 comments