Tuesday, November 29, 2011

Msuni kuanza kujivua leo,


Kipa wa kutumainiwa wa Eleven Boys 'Cosovo' ya Morogoro na blogger Aboodmsuni 'Msuni' anatarajiwa kuanza mazoezi na timu yake híi leo jioni baada ya kukosekana kikosini kwa takribani miezi minne, kutokana na kuwa nnje ya mkoa wa Morogoro kwa ajili ya masomo.

Aboodmsuni anatarajiwa kuwa milingotini siku ya jumamosi pale Eleven Boys watakapo wakabili vibonde wao wa Ngerengere ya Kihonda, na atakuwa na Eleven Boys mpaka januari moja ambapo likizo yake itafika tamati.

Kutokana na Aboodmsuni kuanza mazoezi leo kuna ashiria kutokuwepo kwa liveupdate za Tusker Challenge Cup kwa michezo ya saa kumi katika Aboodmsuni Na Soka La Bongo kwa mda wote atakao kuwepo mazoezini ama kwenye mechi.

1 comment:

  1. Pole na masomo na jitahidi katika mazoezi bwana, ulinde hilo goli hapo!

    ReplyDelete