Thursday, November 24, 2011

Pepa nimeua, naelekea Moro


Hatimaye nimemaliza mitihani yangu na sasa niko kwenye Bus la Islam naelekea Morogoro.

Baada ya kukosekana kwa mda wa wiki 3 nataraji mambo yatarudi katika hali yake ya kawaida katika mitandao ya Aboodmsuni na kutokuwepo jijini Dar es salaam ambapo mashindano ya Tusker Challenge Cup yatafanyika kuanzia kesho, hakumaanishi kutokuwepo kwa live update toka Taifa katika Dakika 90.

Nikiwa njiani naelekea Morogoro ustaarabu wa makonda wa Islam sija uridhia, maanake bus moja linakonda zaidi ya wanne, ambapo bado kidogo watifuane na abiria mmoja wapo, ambae alishindwa kuelewa ampe nani nauli yake, baada ya kila konda alitaka kupokea hela hiyo.

Endelea kupekuwa katika mitandao ya Aboodmsuni (mtoto wa tajiri aliye masikini) kwa taarifa kem kem za michezo hususani soccer.

1 comment:

  1. As a JigambeTeam we are wishing you to have a Safely Safari!

    ReplyDelete