Wanafunzi wa Al-maktoum wakiwa kwenye Workshop
Al-Maktoum College of Engeneering Technology inawatangazi nafasi za masomo ya Cheti na Stashahada kwa mwaka wa masomo 2012/2013.
Al-maktoum inatoa mafunzo katika kozi za Electrical Engineering, Electronics Engineering, Information Technolog pamoja na Short courses.
SIFA ZA MUOMBAJI
Stashahada
Awe amemaliza kidato cha 6 na kupata angalau 'Principal Pass' 1 na 'Subsidiary' 2 katika masomo ya mathematics, physics, chemistry, geography.
Au awe amepata wastani wa 'C' katika Basic Technician 'CERTIFICATE' kutoka chuo kinacho tambuliwa na NACTE.
Cheti
Awe amemaliza kidato cha 4 na amepata angalau 'D' tatu katika masomo ya fizikia/engineering sayansi, hisabati, kiingereza, kemia/jiographia au katika somo husika.
Chuo kina usajili Na. REG/EOS/093 P, na kipo Mbezi Beach Tangi Bovu.
Fomu zinapatikana Chuoni Kwa upande wa Dar es salaam, na mwisho wa kurudisha fomu ni 02/05/2012 na masomo yanataraji kuanza 23/07/2012.
Tangazo hili limewekwa kwa hisani ya ABOODMSUNI NETWORK na picha zote zimepigwa na Aboodmsuni katika moja ya vipindi vilivyofanyika katika workshop ya Computer Maintanance
No comments:
Post a Comment