Friday, February 24, 2012

Ijumaa hii: Adabu za Sala na Kishki

As-salaam alaykum

Namshukuru Mola kwa kunipatia afya njema na pumzi bila malipo yoyote. Hizi video zinaelezea Adabu za Sala na muelezeaji ni Shekh Nurdin Kishki.

Ijumaa Karim na wikiend njema







No comments:

Post a Comment