Tuesday, February 7, 2012

Msiba nyumbani kwa Aboodmsuni


Mmiliki wa blog ya Aboodmsuni Na Soka la Bongo pamoja na Aboodmsuni Home, Abdallah Hamdun Ibrahim Sulayman 'Aboodmsuni' amefiwa na bibi yake mzaa Mama bi Zaid.

Kwa sasa Aboodmsuni yuko njiani anaelekea Morogoro kwa ajili ya msiba wa bibi yake huyo, unaofanyika nyumbani kwa mzee wake Dr. Hamdun Ibrahim Sulayman.

Bi Zaidi amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mungu ailaze mahali pema mwili wa Marehemu.

1 comment: