Monday, April 30, 2012

Mtoto watajiri atoweka Moro


Aboodmsuni


Blogger wa SIB, Abdallah Sulayman 'Mtoto watajiri aliyemasikini' yuko njiani akielekea Dar es salaam, baada ya kutua Morogoro Ijuma usiku ya april 27.

Abdallah 'Aboodmsuni' anaelekea Dar kuweka mambo sawa kabla ya kurejea Morogoro Leo usiku ama kesho asubuhi kumalizia likizo yake ya wiki moja.

No comments:

Post a Comment