Saturday, April 7, 2012

RIP Stephen Kanumba


Muigizaji nguli Steven Kanumba amefariki usiku wa leo na mwili wake umeifadhiwa katika munjwali ya hospitali ya Muhimbili.

Taarifa zilizopo zinadai kuwa Kanumba amekutwa na umauti baada ya kuangukia kisogo kufuatia mvutano baina yake na mpenzi wake Lulu.

No comments:

Post a Comment