Thursday, May 10, 2012

Aboodmsuni blogs nazo zilituzwa na Azam

Blogs zilizo chini ya Aboodmsuni Network nazo zilikuwa miongoni mwa wanahabari walio tuzwa veti na timu ya soka ya Azam FC katika tafrija yao iliyofanyika katika ukumbi wa JB Montel siku ya jumapili mei 6.

  Aboodmsuni Network imepata tuzo hizo kupitia blog za Sports In Bongo na Azam Fans Club ambazo ziko chini ya  Aboodmsuni Network katika uangalizi wa Abdallah Hamdun Ibrahim Sulayman anae miliki majina ya Abood Msuni.

Sports In Bongo ni miongoni mwa blogs zilizopendekezwa na wadau kushiriki kwa mara ya pili mfululizo tuzo za Tanzania Best Blog katika kipingele cha Sports (michezo). Mara ya kwanza ilifanikiwa kuwa Second Runner katika shindano hilo linalofanyika kwa mara ya pili.

1 comment: