Thursday, May 10, 2012

Watumiaji wa IMTU wakipata


Watumiaji wa basi la IMTU College of Medicine jioni ya leo walipatwa na kizaazaa cha kulisukuma basi lao baada ya kuzimika na kusababisha foleni ndogo katika barabara inayotoka Mwanyamala na kumalizikia shule ya msingi wa Kijitonyama.


Wakikimbilia basi lao baada ya kulisukuma na kuwaka


Basi hilo kabla ya kuzimika ghafla katikati ya barabara inayotokea Mwanyamala na kumaliziki shule ya Msingi ya Kijitonyama. Lilizimika katika raundi about ya Mwanyamala na lilisukumwa na kuwaka.


Hawa walikuwa nyuma wanaliwahi Basi lao



Gari lililokuwa nyuma ya Basi hilo likimalizia kulivuka Basi hilo lilipo zimika



Magari yakingoja kupita, wakisubiri magari yaliyonyuma ya Bus hilo yamalize kuvuka

No comments:

Post a Comment