Tuesday, August 21, 2012

ABOODMSUNI NETWORK KUENDELEA KUTOA HUDUMA MWISHONI MWA JUMA


Osama Hamdun Sulayman


 
Aboodmsuni
  
Aboodmsuni 'Abdallah Hamdun Ibrahim Sulayman' leo anataraji kurejea jijini Dar es salaam baada ya kumaliza mapumziko yake ya sikuku ya Eidil Fitr.

Urejeo wa Aboodmsuni unafunguwa ofisi za Aboodmsuni Network zilizopo Mikocheni B jijini Dar es salaam, hivyo basi kuendelea kutoa huduma mwishoni mwa juma hili kama ilivyo ada.

Katika msafara wa kurejea jijini Dar es salaam hii leo, ataambatana na majembe yake Osama Hamdun na Abdul-muniim Hamdun ambao wao wanaelekea katika ziara maalum iliyo andaliwa na kikundi cha An-nahari.

Safari hii Aboodmsuni Network itakuwa inafanya kazi siku ya jumamosi na jumapili katika suala la kutoa ujuzi, kukarabati computer na kuingiza program katika coputer.


No comments:

Post a Comment