Wednesday, September 26, 2012

KUTOKA FB: CCM BILA UFISADI HAIWEZEKANI

Unamkumbuka NAZIR KARAMAGI Walimpga chini akiwa Waziri wa Nishati Na Madini kipindi kile Kwa kashfa ya Ufisadi????

Sasa KAPITA KUGOMBEA KAGERA.

© JE LOWASA Unamjua-???? Kapita Kugombea kwao Kule Umasaini Pamoja na Uchafu wake wote CCM Wamesema Aaa! Mtu wetu hatumuachi.

©KITU ANDREW CHENGE Kugombea NEC Bariadi Pamoja VIJICENT Vyake.

©KITU SUMAYE Pamoja na kulitumikia Taifa Miaka nenda rudi Kama Waziri Mkuu still anavaa PAJAMA kuchuana na Dr Mary Nagu Ambae nae Pamoja na Ma-vyeo Lukuki amevaa TIGHT ili aingie ulingoni kuchuana Na Waziri Mkuu Mstaafu kuwakilisha Hanan'g

Ivi Kustaafu what does it mean Kwa Wabongo? Du au ndo wale wazee Walokuwa wametawaliwa na Starehe za dunia, wamestafu huku hawajajijenga, hvyo wanarudi Retrospectively Kujipanga Upya? Ndo hawa.

©Hayo yote ni 9 Kumi MAMA NA MWANAE WAMEPITA BILA KUPINGWA Kitu Mama Salma Kikwete Na Rizi-moko Kikwete, hakuna Mpinzani.

MBAYA ZAIDI MWANACHAMA MWENYE MSIMAMO MKALI, MPENDA MAENDELEO KAPGWA CHINI Nimrod Mkono kapgwa Chini, Na uzuri altoa Angalizo Mapemaa,

Kwamba Ole Wake jina Lake lisipendekezwe, PATACHMBIKA CCM So I'm Eagerly Waiting Mkono's Reaction on this.



Link ya ilipo populiwa: www.facebook.com/groups/402230009836587?view=permalink&id=421054321287489&refid=8&_ft_=qid.5792431936620330578%3Amf_story_key.421054321287489

1 comment:

  1. CCM bila ufisadi inawezekana na haya ndo mabadiliko tunayoyasubiri kwa muda...vijana washike hatamu...CCM sio fisadi jamani hata hao mnaotaka waje mmewachunguza au mnaponda tuu kisiasa?? maisha ni wewe fanya kazi kwa bidii

    ReplyDelete