Na Naomi Magessa, Wazo langu ndani ya Facebook: Nchi hii kwa sasa, masikini hawana chao hivyo tunahitaji mtu ama watu watakao rudisha moyo ule wa kutojilimbikizi a mali na wenye kupenda masikini ama tunahitaji mtu atakaye punguza gap kati ya matajiri na maskini, mtu ama watu watakao ondoa nyimbo za kupambana na maovu badala ya kutenda kwa mfano nyimbo za rushwa, wizi wa mali za umma, ubinafsi na kulindana mfano madiwani na wabunge wamekuwa wakilalamika tu kwenye vikao mwisho wa siku na wao wanajiunga na mafisadi na kutumika kama madaraja ya kuwasaidia mafisadi na kuwasahau wananchi waliowachagua kwa imani kubwa ya kuwasaidia. Jambo la kusikitisha Masikini ambao ndio wengi, wanatumika kifisadi Mfano wanapewa sh.2000,1000 au sh.500, pia vitumbua (Vigwangallah) na wali, katika chaguzi kwa kuchagua viongozi mbalimbali. TUNA HITAJI KUFANYA MAPINDUZI YA KIJAMII (Social Revolution) ili kurudisha ari za kupenda masikini kama ilivyo asisiwa na baba wa taifa hili. Watanzania tusitegemee asilani kundi ama kikundi cha watawala ama mataifa mengine kubadili hali ya jamii ya watanzania kwani makundi haya yana manufaa na sera zao za kukandamiza masikini. NI MUDA MREFU KWA MIAKA MINGI tokea enzi za uhuru TANZANIA IMEPOTEZA FURSA YA KUWAINUA MASIKINI BADALA YAKE MATAJIRI WA KWELI (WENYE KUJALI MASIKINI ]WAMEPU NGUA NA SASA WAMEIBUKA MATAJIRI WENGI WABINAFSI, wenye roho mbaya kuliko shetani NA WALAFI AMBAO WANACHOCHEA MOYO WA UTAJIRI HARAMU MIONGONI MWA KADA MBALIMBALI. HIVI SASA HAPA Tanzania SIYO JAMBO LA KUSHANGAA KUONA WAHALIFU WAKILINDWA AMA KWA SABABU NI WATAWALA WENYEWE (MADICTATOR), AMA NI MTANDAO WA UTAJIRI HARAMU. BILA KUJALI ITIKADI AU MITAZAMO, WATZ TUUNGANISHE NGUVU ZA UMMA KWA PAMOJA ILI KUBADILI MFUMO TAWALA UNAOKULA UTAJIRI WETU WA NCHI KWA KUUNGANA NA WAHISANI ambao hawana nia njema na sisi bali kuchukua kila cha kwetu kwa kutumia udhaifu wa watawala wetu.
Saturday, October 6, 2012
Jamani hii nchi ya Tanzania vipi, masikini wakimbilie wapi?

0 comments