Sunday, October 7, 2012

UCHIZI WA MAISHA NA MAMBO YAKE KUMI


Na Dan Chibo, Facebook:

"UCHIZI WA MAISHA NA MAMBO YAKE KUMI"

1. Unachokihitaji hukipati (MAPENZI)

2. Unachokipata hukifurahii (NDOA)

3. Kinachofurahisha hakidumu (BOY/GIRL FIREND)

4. Kinachodumu kinakera (MUME/MKE)

5. Chenye thamani kinadhalilisha (FEDHA)

6. Kinachodhalilisha kinapendwa (ZINAA)

7. Kinachoogopwa hakina maandalizi (KIFO)

8. Kinachoandaliwa hakiendelei (UHAI)

9. Vya kuzingatiwa havizingatiwi (QUR'AN & BIBLIA)

10. Vinavyofuatwa havina maana (SIASA)

Kwa nini inakuwa hivi?
Hebbu tujiulize na Chukua Hatua...!

0 comments