Wednesday, November 28, 2012

Contact za AL-Maktoum

Assala, Alaykum

Katika siku ratu hizi tumepokea simu zikituomba contact za College ya Al-Maktoum ambayo mmiliki wa wa Aboodmsuni Network anasaka Diploma yake ya Information Technology 'IT'/

Kutpkana na simu hizo tunapenda kuwafahamisha wadau wetu kuwa Aboodmsuni Network na AL-Maktoum College of Engimeering and Technology hawana uhusiano wowote ule zaidi ya mmiliki kuwa mwanafunzi wa chuo hicho kinachotoa Diploma na Certificate za IT, Electronics na Electrical.

Kwa msaada tu tunapenda kuweka contact za chuo hicho kama tulivyo fikishiwa na ofisi ya chuo hicho kilichopo Tangbovu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam.

Contaxt zao ni; 0222617703
P.O Box7206 Dar es salaam


Imetolewa na; Abdallah Hamdun Ibrahim Sulaymab
Owner of Aboodmsuni Network and student of AMCET

No comments:

Post a Comment