Monday, November 12, 2012

Officialy; Msuni kuingiza jiko December

Msuni akiwa katika kiwanja cha MUM
Baada ya fununu nyingi kutawala na watu kuulizia kuhusu taarifa ya Technician na mmiliki wa Abooodmsuni Network, Abdallah Hamdun Ibrahim Sulayman 'Msuni' kutaka kuoa mwishoni mwa mwaka huu.

Msuni anapenda kuwaarifu wadau wake kuwa hizo taarifa ni za kweli na Mungu akijaalia mnamo december 21 mwaka huu anataraji kuoa, ambapo ndoa itafungwa kufungwa Kihonda mjini Morogoro.

Msuni ambaye pia ni mwanafunzi wa Al-Maktoum College of Engineering and Technology anapenda kuwaarifu wadau wake kuwa hakuto kuwa na kuchngidhana mchango wa aina yoyote ile na wala hakutokuwa na utowaji wa kadi.

Hivyo tunawaomba watuvumilie wale wadau walio kuwa wanaomba uwepo wa toaji kadi kwa kutokuwepo kwa kitu hicho.

Muda wa ndoa ni baada ya swala ya ijumaa katika msikiti wa chuo cha kiislamu Morogoro 'MUM' na kama kutakuwa na mabadiliko tuta juzaana katika jaroda letu hili.

Nyote Mnaakaribishwa. 

No comments:

Post a Comment