Monday, December 17, 2012

MSAADA TUTANI; UKIFUTA FILE/SMS NA UKIFORMAT HDD NA MEM CARD, FILE ZINAKWENDA WAPI?

Nimetatizika na hili swali, kwani kwa kesi ya HDD unaweza ukarejerha mafaili yaliyofutwa moja kwa moja kwa kutumia recovery software.

Je unajua yapo kwenda maana baada ya kufuta unarejesha size ile ya awali.

0 comments