Saturday, December 29, 2012

Msuni kutua Dar leo, AN kurejea

Msuni na mke wake mara baada ya kufunga ndoa
Mmiliki wa Aboodmsuni Network Abdallah Hamdun Sulayman (Msuni) anataraji kurejea jijini Dar es salaam leo jumamosi (Decenber 29) akiambatana namkewe baada ya kukaa mjini Morogoro kwa takribani wiki mbili.

Kurejea kwa Msuni jijini Dar es salaam kunaashiria kufunguliwa kwa huduma za Msuni Computer Solution iliyokuwaimesimama kupisha shughuli ya ndoa ya Msuni pamoja na mitihani alikuwa nayo chuoni kwake,

Kurejea kwa Msuni jijini Dar es salaam hakumaanishi ufanisi wa Blogs za Aoodmsuni kurejea katika hali yake ya kawauda, kwa kuwa katika kipindi hiki cha miezi miwili Aboodmsuni Network imepoteza vitendea kazi vyake vingi, ambapo kwa sasa inaanza kufirejesha,

Huduma za Msuni Computer Solution zitaanza kutolewa kesho jumapili (December 30) wakati zile za Aoodmsuni Blogs zikianza kurejea taratibu hapo kesho mpaka kufikia january 20 tutakuwa teyari tusha kaa sawa.

Nyote wenye matatizo na computer mnakaribishwa mpate kuhudumiwa na Msuni Computer solution, iliyo na maskani yake Mikocheni B.

No comments:

Post a Comment