Picha zote zimepigwa na Osama Hamdun Ibrahim Sulayman
MSUNI BAADA YA KUFUNGA NDOA |
MSUNI KATIKATI AKINGOJA KUFUNGA NDOA, KUSHOTO NI FUNDI UMEME JADIRU NA KULIA MWAKILISHI WA NUR ISLAMIC SEMINARY RAJABU OMARY 'MBISHI' |
MSUNI NA JADURU WAKINGOJA UFUNGISHWAJI WA NDOA |
MSUNI AKISAKA MATOKEO YA AZAM ACADEMY BAADA YA KUFUNGA NDOA AKINGOJA KWENDA KUMUANGALIA MKE WAKE |
MSUNI AKITOKA NA MKE WAKE |
MSUNI NA MKE WAKE WAKIWA WANAONDOKA NYUMBANI KWA MJOMBA WA MKE WAKE ILIPO FUNGWA NDOA |
MSUNI AKIWA NA MKE WAKE |
MSUNI NA MKEWE |
MSUNI AKIWA NA BABA AKE Dr. HAMDUN IBRAHIM SULAYMAN |
0 comments