Wednesday, February 13, 2013

IN-NALILLAH WA IN-NAHILLAHI RAJUUN: SHEKHE NASORO BACHO HATUKO NAE

Shekhe Nassoro Bacho amefariki leo saa 6 mchana huko visiwani Zanzibar baada ya kuuguwa kwa mda.

Akizungumza na redi6 imani mtoto wa marehemu Hamisi Nassoro Bacho amesema kuwa babaake amefariki leo jmchana akiwa juu ya mapaja yake baada ya kuuguwa kwa mda mrefu.

Katika kipindi chake cha uhai marehemu Bacho alikuwa muadhiri wa dini ya kiislamu Afrika mashariki.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA COMPUTER YAKO
call us: +255-657-184-421
www.aboodmsuni21.blogspot.com

1 comment: