Saturday, February 2, 2013

MSUNI COMPUTER SOLUTION KUTOA HUDUMA BURE

Ikiwa tunaelekea katika kutimiza miaka miwili katika upande wa ABOODMSUNI BLOGS, tunatoa ofa kwa wadau wetu kwa kutoa huduma bure zilizochini ya MSUNI COMPUTER SOLUTION (MCS).

MCS inatoa huduma za kukarabati computer (computer repair and maintenance) na kuingiza program katika computer (program installation).

ABOODMSUNI NETWORK kupitia kwa MCS itatoa huduma za kukarabati computer bure kuanzia leo mpaka february 28 mwaka huu.

Hatuto toa bure huduma ya kuingiza program (program installation) na zile computer zitakazo kuwa na matatizo katika software na inahitaji kuingizwa software (software installation) haita kuwa bure.

Ili kunufaika na ofa hii, tutembelee maskani kwetu Mikocheni B mtaa wa Manyara (Mikovila) uliopo katika barabara ya Kwarioba.

Ama tupigie katika namba +255 657 184 421


--
Abdalah Hamdun Ibrahim Sulayman
C.O ABOODMSUNI NETWORK
+255 657 184 421
aboodmsuni@yahoo.com

0 comments