Friday, July 19, 2013

OFISI ZA AN KUWA WAZI KESHO

Baada ya kuwa na kazi nzito mkoani Morogoro na kuwa katika kipindi cha mtihani, ofisi za Aboodmsuni Network 'AN' zinataraji kufunguliwa kesho jumamosi na huduma zake zote kurejea katika hali yake.

Aboodmsuni Network kupitia Msuni Computer solution ilikuwa mkoani Morogoro kwa mda wa wiki moja na bila kutarajia, shughuli za Msuni Computer Solution zilizifunga shughuli zote za Aboodmsuni Blog.

Kurejea kwetu Dar kunaashiria urejeo wa shughuli za Aboodmsuni Blogs, ambazo ni kuendesa blog za Tembezi za Msuni, Sports In Bongo, Azam fans club.

0 comments