Sunday, October 13, 2013

OFISI ZA AN ZAFUNGWA, MSUNI KUTUA MORO LEO

Ofisi za Aboodmsuni Network  (AN) zimefungwa tokea jana kupisha sikuku ya Eidil HAjj ambayo mmiliki na fundi wa computer wa AN, Abdallah Hamdun Sulayman (Msuni) atakuwa mkoani Morogoro kuanzia lwo mpaka jumatano.

Kufungwa kwa Aboodmsuni Network kwa kipindi hiki cha Iedil Hajji kutapelekea madhara katika blog zilizopo chini ya usimamizi wa Blog Za Msuni, ambapo safari hii hakutarajiwi kuwa na update zozote zile katika blog hizo. Blog ambazo zitaasiriki ni pamoja Sport In Bongo na Tembezi za Msuni.

Kipindi ambacho Msuni atakuwa Morogoro kama ilivyoada ataendelea kutoa huduma za kukarabati computer, huku Habib ambaye atakuwepo jijni Gar es salaam ataendelea kufanya kazi hiyo ya kukarabati Computer nnje ya ofisi za AN.

Ofisi za AN zoilizopo Mikochenib B zinatarajiwa kuwa wazi siku ya jumamosi, huku kitengo cha Blog za Msuni zikitaraji kurejee siku ya Alhamisi.


Imetolewa na: Abdallah H.I Sulayman
Mmiliki wa Aboodmsuni Network

0 comments