Wadau wa Sports In bongo kupitia kitengo cha Msuni Blogs wamekuwa wakikosa taarifa za moja kwa moja toka uwanjani (live score) kupitia kurasa ya dakika 90 kwa majuma mawili sasa, huku kukiwa kukikosekana kabisa kwa michezo ya katikati ya wiki kwa mwezi mzima wa oktoba na huu wa november.
Kitendo cha kukosekana huku kumepelekea kupokea ujumbe mbalmbali toka kwa wadau na wafuatiliaji wa kurasa hiyo wakitaka kujua nini kinachopelekea kukosekana huko.
Ukurasa wa dakika 90 ndio unaoongoza kwa kutembelewa na ndio ukurasa unaoufanya blog ya Sports In Bongo kuwa tofauti na blog nyingine, kutokana na hilo tunafahamu umuhimu wa kuwepo kwa taarifa kwa kila mchezo kama ilivyokuwa hapo awali.
Kilichopelekea kurasa dakika 90 kukosa taarifa za live score ya soka la Bongo ni kubanwa na majukumu mengine msimamizi wa kurasa hiyo ambaye ndie mtendaji pekee ndani ya Blog za Msuni, ndugu Abdallah H.I SUlayman "Msuni".
Msuni yuko katika mwaka wake wa mwisho wa masomo ya diploma ambapo mwisho wa mwaka anatakiwa awasilishe project ambayo kwa sasa ndio inayo chukuwa muda wake mwingi katika muda aliokuwa anautumia katika shughuli za Blog za Msuni.
Nnje ya project Msuni amejikuta akitwishwa jukumu na wanafunzi wenzake la kuwasaidia wanafunzi wa level ya chini katika somo la "programming" ambapo pia imeangukia katika wakati ambapo matukio ya kimchezo hufanyika mara kwa mara.
Kutokana na majukumu hayo na mengine madogo madogo kumepelekea kutokuwepo kwa taarifa katika ukurasa wa dakika 90, ila tunatarajia kurejea kwa michezo inayochezwa mwishoni mwa juma hivi karibuni, huku michezo ya katikati ya wiki, ikiwa si ya uhakika kuwa na live update.
ENDELEA KUNUFAIKA KWA KUTEMBELEA BLOG ZETU

No comments:
Post a Comment