Katika SIB Dakika 90 tutakuwa na update kila baada ya dakika 5 huku katika kurasa zetu za Facebook na Twitter itakuwa kila baada ya dakika 10 kama hakutakuwa na tukio maalum la kugusa (kama goli kuingiia ama kuonyeshwa kadi nyekundu mchezaji).
Urushwaji wahayo matokeo haita gusa michezo ya mchana (saa nane) itakayo kuwa inachezwa siku za kazi (Jumatat hadi iujmaa) na kutakuwa na uchelewaji katika michezo ya saa kumi kwa siku hizo.
Kumbuka SIB Dakika 90 ndio Live score ya uhakika katika soka la bongo.
Imetolewa na Abdallah H.I Sulayman
Mtendaji pekee wa Aboodmsuni Network
No comments:
Post a Comment