Allah Akbar Allah Akbar,
Kwa taarifa zilizo ifikia mtandao wa Aboodmsuni mwezi unaoashilia kuingia kwa Shauwal umeandama katika nchi za Malasia, UAE, Qatar Na Saudia Arabia. Hivyo kesho agust 30 ni shauwal mosi ambapo ni siku ya Idiel Fitri.
Kwa hapa Tanzania mwezi umeandama maeneo ya Mtwara. Kwa maeneo ya Morogoro mjini swala ya Eidil Fitri itaswaliwa katika viwanja vya Hilux saa mbili kasoro.

0 comments