Alhamdulillah nimemaliza vyema kula eidil fitri na sasa niko njiani narejea jijini Dar es salaam kuendelea na mchakato wakusaka Elimu.
Nilikuwa Morogoro ambako wazee wanapo ishi kwa sasa kwa ajili ya kusheherekea Eidil Fitri nao. Kama kawa nitakuwa pande za Mikocheni ambapo makazi yangu yalipo, huku nikiendelea kukuhabarisha kinacho endelea ndani ya mpira wa Tanzania katika Aboodmsuni Na Soka La Bongo na hapa katika Aboodmsuni Home ukiendelea kupokea matukio mbalimbali yanayojiri duniani.
Keep in touch with Aboodmsuni sites a lot of things still came.



0 comments