Saturday, November 5, 2011

Iddil Mubaraka

Ni siku nyingine ya kujumuika na waislam walioko kwenye ibada ya Hajj kusherekea iddil Adh-ha, ambapo tumesuniwa kuchinja vinavyo chinjwa katika siku hiyo ya Iddil Adh-ha.

Tukio la kunjinja linaenda sambamba na kumbukumbu ya Mtume Ibrahim aliyeoteshwa amnjinje mwanae pekee Ismail, na akiwa katika utekelezaji wa agizo hilo Allah (s.w) alimteremsha Kondo ambaye alinjinjwa badala ya Ismail.

Aboodmsuni anawatakia waislam wote Iddi njema.

0 comments