Wednesday, January 11, 2012

Pindi kwenye picha

Picha hiyo inayo onekana hapo, nimeikomboa kwenye profile ya rafiki yangu wa shule ya msingi, ambapo ilibeba message hii "A Man Who Treats His Woman Like A Princess Is Proof That He Has Been Born And Raised In The Arms Of A Queen...!!! ♥ =) "Like" if You Agree..! "

0 comments