Kwa takriban mwezi sasa hakuna video mpya za soka la ulaya na ulimwenguni katika page ya video ndani ya Aboodmsuni Na Soka La Bongo na ile ya Aboodmsuni Home.
Kukosekana video za matukio ya soka la ulaya inatokana na kuwa katika marekebisho ya mtandao nilio kuwa na utumia katika kukusanya video hizo.
Tunaomba muwie radhi kwa usumbufu unao jitokeza wakati tunatafuta njia mbadala wa kuendelea kukupatia burudani ya video.
ABDALLAH HAMDUN IBRAHIM SULAYMAN
Mmiliki na muendeshaji wa mitandao ya Aboodmsuni



0 comments