Friday, September 23, 2011

Ijumaa karim fans and friends

Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.

Baada ya kumshukuru Mola kwa kunifikisha Ijumaa ya leo nikiwa na afya njema, huku nikijikongoja College, nina watakia wasomaji wote wa blogs na post za 'Aboodmsuni' IJUMAA KARIM na WIKIEND NJEMA.

Ujumbe wa leo na wikiend 'Msikurubie Zinaa, hakika zinaa ni uchafu'.

0 comments