Tuesday, November 15, 2011

Songas palipuka

Taarifa zilizoifikia ABOODMSUNI kuna mlipuko uliotokea katika kituo cha umeme cha Songas Ubungo jijini Dar es salaam hii leo.

Kutoka kwenye JAMII FORUM

Ground Zero:
Nimepata taarifa kutokea kwa mlipuko kwenye mitambo ya songas. Mwenye taarifa zaidi atujuze

Alexism:
Wakati ninaingia Ubungo kutokea mkoani mida ya saa kumi na dakika harobaini kumetokea mlipuko kwenye kituo hicho cha Umeme. Wamekimbia mpaka wengine wakaacha mali zao. Nimejaribu kuongea na watu wanaofanya biashara hapo wamesema wamezoea. Mbunge Mnyika watu wako siku moja wataungua na kubaki majivu.

Hayo yamenukuliwa toka kwa wadau wa JAMII FORUM, fuatilia kwa bofya HAPA

0 comments