Thursday, November 3, 2011

Usalama kwa waenda kwa miguu upo

Kuna hii tabia ya kutanuwa upande wa kushoto ambao hutumiwa na waenda kwa miguu pamoja na waendesha baiskeli, hali inayo waweka mashakani waenda kwa miguu .

Utanuzi huo wanaoufanya wenzetu wanaotumia magari na usafiri mwingine kwa kujaribu kukwepa foleni, katika maeneo mengine kunawakosesha njia ya kupita kwa watumiaji wa mguu.

0 comments