Friday, December 9, 2011

MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA

Leo Tanzania Bara 'Tanganyika' wana azimisha miaka 50 ya Uhuru uliopatikana katika mwaka 1961 december 9, na maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru yanaendelea katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

Aboodmsuni ana ungana na Watanzania wengine katika maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara 'Tanganyika'. Tumemaliza miaka 50 ya Uhuru, tunaanza safari nyingine ya miaka 50 mingine ya Uhuru.

Vilevile napenda kuwaarifu Aboodmsuni imeshindwa kuandaa orodha ya wanasoka wa miaka 50 ya Uhuru kama ilivyotangaza hapo awali kuwa leo tungeweka kikosi cha mashujaa wa Tanzania ndani ya miaka 50 sambamba na wadau wasoka mbalimbali.

0 comments