Friday, December 9, 2011

Tamasha la kuchangia TV Imani kufanyika Taifa dec 18



Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatu.

Radio Imani pamoja na shiriki la Islami Foundation lenye maskani yake jijini Morogoro wameanda tamasha la kuchangia TV Iman, litakalofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salam december 18 mwaka huu.

Meneja msimamizi wa vipindi wa Radio Iman Bro Muhammad Matano katika ukurasa wa Facebook amesema;

"Ewe mpenda kheir napenda kuchukuwa fursa hii adhwim kukuomba ujeufanye biashara na Allah(.s.w.t) siku ya tarehe 18.12.2011 kutakuwa na mchango wa TV IMAAN katika uwanja wa Taifa jijini Dar-es-salaam."

Katika taarifa hiyo iliyo ambatanishwa na maneno ya kiingereza yanayosomeka kwamba;

"I hereby take this golden chance to request you come do business with Allah (s.w.t) on the 18.12.2011. TV IMAAN is giving you a platform to do business with ALLAH by organizing a fundraising for the TV at the National Stadium Dar-es-salaam Tanzania from 8am to 6pm. Come and invest in your hereafter.

Please copy some of our status regarding the TV IMAAN FUNDRAISING on the 18.12.2011 at the NATIONAL STADIUM in Dar-es-Salaam and make it your status or send it to your friends like s.m.s. this will really help in spreading the word as we are running out of time please please help us in the name of ALLAH.

Those who are living in the diaspora we are working on a possible way for you to invest in your hereafter by donating to the TV IMAAN fundraising on the 18.12.2011 or you can easily communicate with Bro. Ahmed Bawazir for more info," taarifa ya Muhammad Matano ilieleza.


Katika taarifa nyingine iliyotolewa na Mwenyekiti wa Islamic Foundation AREF MBARAK NAHDI, inaelezea namna ya kuchangia TV IMAAN kupitia Bank, M-PESA, T-PESA na Z-PESA.

TV IMAAN BANK
ACCOUNTS: AMANA BANK LTD
ACCOUNT NUMBER: 001110001660001
TSHILLINGS.

KCB (T) LTD BANK ACCOUNT NUMBER: 024272000891
TSHILLINGS.

NBC BANK LTD
ACCOUNT NUMBER: 026132000050
TSHILLINGS.

M-PESA 0767 627284
TIGO- PESA 0713 627284
Z-PESA 0778 627284

0 comments