Friday, April 27, 2012

SIB yarejea, Aboodmsuni safarini Morogoro

Blog inayokuja juu katika tasnia ya uhabarishaji wa Michezo SPORTS IN BONGO (SIB) inataraji kurejea katika hali yake ya kawaida katika uhabarishaji wa matukio ya kimchezo.

SIB ililikuwa imepunguza utitiri wa Habari kutokana na msimazi wake kuwa katika mitihani ya kufunga mwaka wa masomo ambayo amemaliza jioni ya leo.


Msimamizi wa SIB, Blogger Abdallah H.I Sulayman 'Aboodmsuni' kwa sasa yuko njiani anaelekea mkoani Morogoro kuwasalim wazee. Na atakaa huko kwa mda wa wiki moja kabla ya kurejea jijini Dar es salaam kwa ajili ya kurejesha huduma ya nyingine zinazotolewa na ABOODMSUNI NETWORK katika hali yake ya kawaida.

0 comments