Aboodmsuni Network pamoja na mitandao iliyochini yake ina wapongeza timu nzima ya kandanda.co.tz kwa kutimiza mwaka mmoja hapo jana ya mei mosi.
Aboodmsuni Network ni moja ya wadau wa kandanda.co.tz, na imekuwa ikiisaidia Sports In Bongo hususan kwenye kurasa ya SIB: Dakika 90.
Uwepo wa kandanda.co.tz unaongeza chachu ya uwepo wa Sports In Bongo, hivyo tunawaombea kwa Mungu muendelee kuwemo katika tasnia hii ya uhabarishaji wa matukio ya Kandanda
Abdallah Hamdun Ibrahim Sulayman
Mmiliki wa Aboodmsuni Network
aboodmsuni@hotmail.com
+255 787 600 613
Mmiliki wa Aboodmsuni Network
aboodmsuni@hotmail.com
+255 787 600 613
No comments:
Post a Comment