Blog inayoendelea kutanuwa wigo katika anga za michezo nchini Sports In Bongo 'SIB' imeshindwa kurejea katika hali yake ya kawaida kama ilivyotangazwa hapo awali.
Wamiliki wa SIB, Aboodmsuni Network ilitangaza kurejea kwa SIB katika hali yake ya kawaida ya kutoa taarifa mbalimbali za michezo hapo jumamosi ya april 28 mwaka huu, na hivyo kuanza na urejeo wa Dakika 90 katika mpambano wa Simba SC dhidi ya El Ahly Shandy april 29.
Hayo yote na mfululizo wa taarifa ulishindwa kufanyika kutokana na Network kusumbua kwa eneo alilopo Admin wa SIB kwa sasa.
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakao jitokeze kwa kipindi hiki cha mpito na tunataraji kurejea rasmi jumanne ya mei 8 mwaka huu, tutakaporejea katika ofisi zetu za Mikocheni na Kijitonyama.
No comments:
Post a Comment