![]() |
| Aboodmsuni alipofamia jiko |
![]() |
| Aboodmsuni baada ya kupiga penati ambayo ina wiana na penati anazopiga mchezaji wa zamani wa Real Madrid na Ufarnsa Zinedine Zidane |
![]() |
| Aboodmsuni na mchezaji mwenza wa Morogoro Veteran wakishangilia penati ya ushindi iliyo pigwa na Aboodmsuni |
![]() |
| Aboodmsuni akijiandaa kupiga penati iliyowapa ushindi Morogoro Veteran dhidi ya Dar es salaam Veterani |
![]() |
| Shekhe Muswab rafiki wa mdogo wake Aboodmsuni na camera man wa leo Osama Hamdun |
![]() |
| Sehemu ya familia ya Aboodmsuni wakipata kifungua kinywa |









0 comments