Wanadada wakifika uwanjani |
Wakina mam wakiwasili katika uwanja wa Chuo Cha Kiislamu Morogoro |
Tiba asilia walikuwepo uwanjani |
Watangazaji wa Radio Imani wakiwa uwanjani |
Huduma ya Chakula ilipatikani katika chuo cha kiislamu hii leo |
Mweendesha beiskeli ya mguu mmoja kabla ya kuanza kuonyesha bwebwe |
Watu wa karate kabla ya kuwanza kuonyesha mambo yao, wakiwa wanajifua |
Mcheza Karate |
Kiongozi wa wacheza Karate |
Wacheza Karate wakiwasili katika viwanja vya chuo cha waislamu Morogoro 'MUM' |
Waislamu waliojitokeza katika viwanja vya chuo cha waislamu Morogoro 'MUM' |
Waonyesha bwebwe za beisikeli nao wa;likuwemo katika kuwaburudisha waislamu walio jitokeza katika uwanja wa MUM |
Mmoja ya wacheza shoo ya beiskeli |
Meza kuu |
Watoto wakibembea |
Tamasha hilo lili udhuriwa na waislamu toka Morogoro na mikoa ya jirani Pwani na Dar es salaam na kurshwa moja kwa moja katika vituo vinavyo milikiwa na Taasisi hiyo inayo miliki shule ya msingi na secondary ya Darul Arqam Morogoro.
Katika Tamasha hilo kulikuwa na michezo mbalimbali kama kukimbiza kuku kwa watoto na vijana, mashindano ya baiskeli yenye matairi matatu na beiskeli ya kawaida, pamoja na mchezo wa soka, ambapo Aboodmsuni 'Abdallah Hamdun' alishiriki.
0 comments