Thursday, August 9, 2012

Faida ya Tangawizi

Tangawizi ni kiungo ambacho kinatokana na mizizi ya mmea wa tangawizi.Tangawizi hutumika ikiwa mbichi au kavu iliyosagwa na kuwa unga.Tangawizi hutumika kwenye chai au kiungo kwenye chakula.
 
FAIDA
1.Huongeza hamu ya kula

2.kupunguza kichefu chefu

3.kuharisha,kutapika,gesi tumboni.

4.Uyeyushwaji wa chakula tumboni,mafua na kifua pia inafaa kama tiba.
 
 
Kutoka kwa: Dina Marios 

No comments:

Post a Comment