Wednesday, August 15, 2012

MSUNI AFUNGA OFISI, ATIMKIA MORO KULA EID


Photo
Mmiliki wa Aboodmsuni Network, Abdallah H.I Sulayman 'Msuni' amefunga ofisi za Aboodmsuni Network zilizopo Mikocheni  B jijini Dar es salaam kwa mda wa wiki moja, kupisha sherehe ya Eidil Fitri, ambapo teyari amesha jisogeza Morogoro kujumuika na familia yake kwa ajili ya sherehe hizo ambazo zinataraji kurindima nwisho wa juma hili.

Katika kipindi hichi zha sikuku Aboodmsuni Network itaendelea na shughuli zake za kuendesha blog huku ufanisi wake ukiendelea kupunguwa mpaka zitakapo malizika sherehe za eidil fitri, huku wakisitisha huduma zote za kiufundi jijini na Dar es salaam lakini wakikaribisha wale wenye matatizo ya computer Morogoro kuwasiliana na Msuni kupitia simu namba 0787600613.


Tunawatakia Ramadhani njema na Iedi njema wateja wetu na wafuatiliaji wa blog zetu 

No comments:

Post a Comment